GET /api/v0.1/hansard/entries/840471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 840471,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840471/?format=api",
    "text_counter": 334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, tuna kikao katika kaunti ya Uasin Gishu ili kuleta Bunge la Seneti karibu na wananchi. Kwa sababu tunazungumza kuhusu mambo ya mafuta, ni vyema umwambie Kiongozi wa Wengi aongee katika Kiswahili ili wananchi wa Kenya wasikie. Tuko katika Jimbo la Uasin Gishu na mambo ya mafuta yanahusu Wakenya wengi. Ninajua kwamba, anajua Kiswahili kwa sababu ni hodari katika lugha ya Kiswahili. Ni vyema azungumze katika lugha ya Kiswahili."
}