GET /api/v0.1/hansard/entries/840675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 840675,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840675/?format=api",
    "text_counter": 538,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Swala hili la madini kupatikana katika nchi yetu ya Kenya limekuwa donda dugu. Ninaona ni kama tulipopewa Uhuru tulipewa uhuru wa bendera pekee. Kwa mambo ya uchumi, inaonekana kama tumeachia wale wageni wanaokuja katika nchi yetu na wao ndio wanaopatafaida. Wakenya wamebaki wanyonge baada ya kupatikana madini kama mafuta."
}