GET /api/v0.1/hansard/entries/840677/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 840677,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840677/?format=api",
    "text_counter": 540,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Mswada wenyewe nauunga mkono lakini tufanye marekebisho katika sehemu zinazo onekana kutoambatana kabisa na Wakenya. Sisi kama viongozi ni jukumu letu kuwaeleza Wakenya ukweli. Tunaposema, kwa mfano, kwamba asilia mia tano inaenda kwa wananchi wa Turkana, itabidi wananchi kila mwisho wa mwezi kuangalia katika akaunti zao za benki kama wamelipwa."
}