GET /api/v0.1/hansard/entries/840678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 840678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840678/?format=api",
    "text_counter": 541,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ni vizuri tuseme kuwa pesa zinaenda kwa kaunti yao kuwasaidia kutengeneza barabara, daraja na mambo yale mengine ambayo yanawafaidi pale Naunga mkono lakini tuelewe kwamba hata kama imefanyika katika sehemu zingine za dunia ambapo kumekuwa na shida, naomba kuwa tutasoma kwa wenigine ili sisi tusipitie katika ile barabara. Ninataka tuuangalie Mswada huu kwa makini, tuupige darubini na hatimaye tutajifunza kutoka kwa watu wengine ili tuepuke makosa hayo."
}