GET /api/v0.1/hansard/entries/840693/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 840693,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840693/?format=api",
"text_counter": 556,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Mswada ulio mbele yetu ambao ni sheria ya petrol ni mkubwa. Wale waliotengeneza walifanya hivyo kwa hali ya utalamu mkubwa sana. Kuna mengi ambayo ni mazuri katika Mswada huu. Hata hivyo tunataka tukupiga msasa kidogo ili uwe sawa kabisa."
}