GET /api/v0.1/hansard/entries/840887/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 840887,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840887/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Mhe. Spika, Shukrani sana kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, ningependa kuweka rekodi sawa kabisa. La kwanza na muhimu zaidi ni kwamba idadi ya Wabunge waliokuwa wakitaka kupiga kura ilikuwa mia asili mia. Ya pili, swali likauliza na Wabunge wote kwa kauli moja wakakubaliana na kupinga na kusema ya kwamba hawatakubali kama wanavyotaka ila kama anavyotaka Wanjiku. Hamna mtafaruku wowote ambao umetokea baina yetu. Wakati ambapo Mwenyekiti aliomba tupige kura, tulikubaliana kwa kauli moja tuweke foleni lakini baadhi ya viongozi ndani ya Bunge, wakiwemo Duale na Mbadi, wakaanza kuiingilia na kuzuia upigaji wa kura."
}