GET /api/v0.1/hansard/entries/840900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 840900,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/840900/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": "Mlango ukafungwa lakini Serjeant-at-Arms wakawakubalia wengine kutoka. Mimi nimekuwa hapa Bunge kwa muhula wa pili na ninajua kwamba mlango ukifungwa Wabunge hawaruhusiwi kuingia na kutoka. Saa hizi, hakuna njia ya kuonyesha ni Mbunge yupi alikuwa ndani. Ni haki ya wananchi kujua ni nani yuko na wao na nani hawako na wao. Kwa hivyo, ninataka utusaidie tupate huo ujumbe. Shukrani sana."
}