GET /api/v0.1/hansard/entries/842015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 842015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/842015/?format=api",
"text_counter": 397,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garsen, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Guyo",
"speaker": {
"id": 13336,
"legal_name": "Ali Wario Guyo",
"slug": "ali-wario-guyo-2"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia hii fursa. Nawakilisha watu wa Garsen. Kwa maoni yao, kitu cha kwanza, kule Garsen kuna shida ya stima. Naona bajeti ya stima imeondolewa yote. Kitu kingine ni mambo ya Equalisation Fund, ambayo iko katika Katiba ya Kenya. Inafaidi watu wa sehemu kame. Inaoneka ni kama imeondolewa. Kama watu wa sehemu kame, tunafaidika kutokana na Equalisation Fund pamoja na stima na Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneo Bunge (NG-CDF). Ukienda shule katika maeneo wakilishi Bunge yote Kenya, NG-CDF ndio inajenga shule na kambi za machifu na vituo vya polisi. Hiyo yote imeondolewa. Imepunguzwa, kumaanisha pesa zimeondolewa."
}