GET /api/v0.1/hansard/entries/842430/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 842430,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/842430/?format=api",
    "text_counter": 48,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Asante. Nampa Sen. Kang'ata heko kwa kupata jiko kirasmi. Hapo awali alikuwa hajapata jiko. Bw. Naibu Spika, kwanza ningependa kumshukuru Rev. Muganda ambaye ameleta ombi hili katika Seneti. Ni kweli kuwa watu wetu wengi sana wameumia katika Jiji la Nairobi. Hasa nazungumza kuhusu wale ambao walifurushwa kutoka kwa makao yao kule Kibera. Najua kwamba idadi haiwezi kuwa ile amesema, lakini kuna watu ambao walifukuzwa wakati ule. Watu wengi wamekosa nafasi ya kurudi na kuanza maisha yao---"
}