GET /api/v0.1/hansard/entries/844543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 844543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/844543/?format=api",
    "text_counter": 460,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": " Mambo mengine ni yangu mwenyewe. Mambo mengine hata nikisema ni ya undani, ni yangu mwenyewe na ni siri yangu. Lakini ni mtu namjua ako na uzoefu wa kazi, hana shaka kwa kazi ya Serikali na hata kazi zinginezo."
}