GET /api/v0.1/hansard/entries/846924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 846924,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/846924/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, ODM",
    "speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "Kama Wapwani, tunaamini kwamba kama mnazi ungeangaliwa vizuri, haungepandwa katika eneo la Pwani peke yake. Juzi nilikuwa Taveta, ambako niliona minazi mingi. Hata Kisumu kuna minazi. Mnazi ni mti ambao kama utaangaziwa vizuri kupitia utafiti wa kutosha, unaweza kuiokoa Kenya nzima kiuchumi."
}