GET /api/v0.1/hansard/entries/847066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 847066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/847066/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Vile vile, akina mama wanapojifungua hujipata kwenye hali hii. Unapata mama amekiti, na mkojo unatoka. Unapojaribu kuuliza, unapata hakuna daktari ambaye anaelewa ni kitu gani kinaendelea. Kwa hivyo, mimi pia naunga mkono ili jambo hili liweze kuangaziwa kwa kina kwa sababu ni jambo linalowaumiza akina mama. Limenyamaziwa kwa muda mrefu."
}