GET /api/v0.1/hansard/entries/847069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 847069,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/847069/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ninaunga mkono Hoja hii na ninamshukuru dadangu kwa kuileta na tutazingatia kuwaelimisha kina mama wetu na wasichana ili mtu akiwa na shida hiyo afike hospitalini kwa haraka ili shida yake ipate kujulikana na kutatuliwa mara moja. Asante na ninaunga mkono."
}