GET /api/v0.1/hansard/entries/851246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 851246,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/851246/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kimilili, JP",
    "speaker_title": "Hon. Didmus Barasa",
    "speaker": {
        "id": 1885,
        "legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
        "slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii nichangie Mswada huu. Mojawapo ya njia za kuhakikisha kwamba Wakenya wanapata huduma bora katika sekta tofauti, ni kubadilisha sheria katika sehemu ambazo zinalenga kuboresha huduma kwa wananchi."
}