GET /api/v0.1/hansard/entries/851248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 851248,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/851248/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kimilili, JP",
    "speaker_title": "Hon. Didmus Barasa",
    "speaker": {
        "id": 1885,
        "legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
        "slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
    },
    "content": "wa kuangalia masuala haya wanaoketi upande wa kushoto wa Bunge wameungana na sisi kusonga mbele. Nawahimiza sote kama Wabunge tupitie sheria hizi ili wakati wa kuzipika zaidi, tuwape Wakenya sheria ambazo zinawanufaisha wote. Tumekuwa na mazoea hasa katika kurekebisha sheria hizi. Kuna marekebisho ya moja kwa moja na tunaweza kuwa na watu wanaoweza kutumia njia fiche kuhalalisha mipango yao kwa kugeuza hizi sheria."
}