GET /api/v0.1/hansard/entries/85232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 85232,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/85232/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Hatujatosheka na majibu ambayo Waziri Msaidizi ametupatia kuhusu Swala hili la nafaka. Tungependa, kupitia kwako Bw. Naibu Spika wa Muda, kuomba kwamba tunahitaji wakati mwafaka ili Waziri Mkuu apewe nafasi atupatie majibu kwa mapana na marefu na kwa kina ili tuweze kutatua kitendawili hiki."
}