GET /api/v0.1/hansard/entries/85233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 85233,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/85233/?format=api",
"text_counter": 224,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ethuro",
"speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker": {
"id": 158,
"legal_name": "Ekwee David Ethuro",
"slug": "ekwee-ethuro"
},
"content": " Bw. Kutuny, ningependa kusema kwamba Bw. Spika atakubali maombi yako kulingana na sheria za Bunge, na unajua la kufanya. Unaweza kuleta Hoja kuhusu nafaka katika nchi na Bw. Spika atakuruhusu kulingana na utaratibu wa Bunge."
}