GET /api/v0.1/hansard/entries/852868/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852868,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852868/?format=api",
"text_counter": 23,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Naibu Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sitakupatia nafasi hiyo, Mkuu wa Wengi, kama hutatamka kwa Kiswahili sanifu. Kama unasimama kwa suala la nidhamu basi uko na nafasi. Tutatumia Kiswahili hadi tumalize mambo haya."
}