GET /api/v0.1/hansard/entries/852871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852871,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852871/?format=api",
    "text_counter": 26,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garissa Township, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Mimi nimeelewa na nitazungumza Kiswahili sanifu. Mhe. Naibu Spika, jana katika mkutano wa kamati ambayo inaratibisha kazi ya Bunge ambayo inaongozwa na Spika wa Bunge, tulimuuliza Katibu wa Bunge hili afanye mabadiliko katika hiyo Hoja."
}