GET /api/v0.1/hansard/entries/852873/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852873,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852873/?format=api",
"text_counter": 28,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Tulimuuliza Katibu wa Bunge afanyie Hoja hiyo mabadiliko. Hii ni kwa sababu yale ndugu yetu Bw. Ali Mohamed anauliza yanahusu vile vipengele vya Katiba ambavyo vinahusiana na matibabu. Hii ni kwa vile tunajua kuna matibabu ya Serikali kuu na ya serikali za ugatuzi. Mhe. Kiongozi wa Wachache na Mhe. Washiali walikuwa katika huo mkutano. Tulimtaka aulize Serikali kuu na zile za ugatuzi; hospitali nyingi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}