GET /api/v0.1/hansard/entries/852876/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852876,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852876/?format=api",
    "text_counter": 31,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garissa Township, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Ni bure kabisa kulingana na Katiba. Ni kama haiambatani, hailingani na haiko sawia na Katiba ya Kenya. Mwenyekiti nakuuliza uulize makarani ambao wamekaa hapa Bungeni kama hiyo Hoja iko sawa. Nitampa Mhe. Mbadi fursa pia aongee Kiswahili ili ahakikishe kwamba yale ninasema ni ya kweli."
}