GET /api/v0.1/hansard/entries/852877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852877,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852877/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Naibu Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Kiongozi wa Wengi, huna nguvu ya kumpatia Kiongozi wa Wachache hiyo ruhusa. Hata hivyo, nitachukua nafasi hii kumpatia Kiongozi wa Wachache katika Bunge hili la kitaifa. Utahutubia Bunge hili kwa lugha ya taifa ya Kiswahili."
}