GET /api/v0.1/hansard/entries/852883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852883,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852883/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Suba South, ODM",
"speaker_title": "Hon. John Mbadi",
"speaker": {
"id": 110,
"legal_name": "John Mbadi Ng'ong'o",
"slug": "john-mbadi"
},
"content": "ama ni nini lakini ninataka nihakikishe kwamba yale kiongozi amesema ni ya kweli. Tulizungumzia haya maneno na tukaamua tupewe mwenye Hoja. Huyo ni Mhe. Ali. Yeye ndiye atapendekeza marekebisho ili hii Hoja ilingane na Katiba ya nchi yetu. Asante sana Mhe. Naibu Spika. Wakati wa kuchangia hii Hoja ukifika, hapo ndipo tutajua ni akina nani wako na uwezo wa kuongea Kiswahili sanifu. Mimi nilifanya Kiswahili na nikapita. Namaanisha nilifanya Kiswahili katika mtihani na nikapita. Lazima ufanye mtihani. Unajua unaweza kusoma Kiswahili lakini hukitumii. Nilisoma, nikafanya na nikapita mitihani. Naona hata Mhe. Sankok ambaye hawezi kuongea Kiswahili sanifu anapiga kelele nyingi. Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii."
}