GET /api/v0.1/hansard/entries/852885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852885,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852885/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mosop, JP",
"speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
"speaker": {
"id": 13436,
"legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
"slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Nimeshangazwa kwamba kiongozi cha walio wachache Bungeni ametumia lugha ambayo si sanifu kwa kusema kuwa amefanya Kiswahili. Kufanya ni tofauti. Angesema amesomea ama amehitimu ama ametahiniwa katika somo la Kiswahili lakini kusema kuwa amefanya ni jambo tofauti. Hiki ni kipengele ambacho hakitaambatana na lugha yetu ya Kiswahili."
}