GET /api/v0.1/hansard/entries/852894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852894,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852894/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwanza ningependa kukusoa. Hatuchangii swala hili kwa sasa. Swala lililo mbele yetu ni kwamba kuna vipengele ambavyo vinatakikana kurekebishwa na Mjumbe wa Nyali. Hiyo ndio hoja ambayo tunataka kuzungumzia kwa sasa."
}