GET /api/v0.1/hansard/entries/852895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852895,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852895/?format=api",
"text_counter": 50,
"type": "speech",
"speaker_name": "South Mugirango, KNC",
"speaker_title": "Hon. Silvanus Onyiego",
"speaker": {
"id": 1417,
"legal_name": "Silvanus Osoro Onyiego",
"slug": "silvanus-osoro-onyiego"
},
"content": " Ningependa kurekebisha Kiongozi wa Walio Wengi kwa kusema kuwa Mheshimiwa Ali ameleta Hoja hii kwa njia inayokiuka Katiba. Kipengele cha 119 kinaruhusu kila mtu kuleta Mswada au marekebisho yoyote ambayo yanagusia sehemu fulani kisheria. Kwa hivyo, Hoja hii iko hapa kisheria na iko kwa njia ambayo inastahili. Kwa hivyo, Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni anapotosha watu hapa."
}