GET /api/v0.1/hansard/entries/852899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852899,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852899/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "North Horr, FAP",
    "speaker_title": "Hon. Chachu Ganya",
    "speaker": {
        "id": 18,
        "legal_name": "Francis Chachu Ganya",
        "slug": "francis-ganya"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika, nakushukuru kwa nafasi hii. Nilitaka kusimama kwa Hoja ya Nidhamu na sikupata nafasi hiyo wakati Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni alipokuwa akiongea. Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni alisema Hoja hii ambayo Mhe. Ali alitoa ni bure kabisa. Huo ni upotevu wa nidhamu na lugha hii haikubaliki katika Bunge letu."
}