GET /api/v0.1/hansard/entries/852903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852903,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852903/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Endebess, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Robert Pukose",
    "speaker": {
        "id": 1458,
        "legal_name": "Robert Pukose",
        "slug": "robert-pukose"
    },
    "content": " Hoja iliyotolewa na Mhe. Ali kulingana na vile Kiongozi wa Walio Wengi alisema, inakejeli Katiba. Mambo ya huduma ya afya imegawanyika kati ya Serikali Kuu na serikali ya ugatuzi. Itakuwa fursa nzuri kufanya marekebisho kwa sababu tayari ametoa Hoja yake. Kiongozi wa Walio Wengi alisema ni bure kwa sababu haitaweza kuleta manufaa kwa wakenya. Kwa sababu ni Hoja nzuri, tunafaa kutumia fursa hii kufanya marekebisho ili isikejeli Katiba."
}