GET /api/v0.1/hansard/entries/852908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852908,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852908/?format=api",
    "text_counter": 63,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi North, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Owen Baya",
    "speaker": {
        "id": 13373,
        "legal_name": "Owen Yaa Baya",
        "slug": "owen-yaa-baya"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ijapokuwa mambo ya hosipitali yako katika ngazi mbili, ngazi ya kitaifa na serikali za ugatuzi, mambo ya sera kuhusu mambo ya afya yako katika serikali ya kitaifa. Katika utaratibu wa Nne wa Katika, utapata mambo ya sera yako katika serikali ya kitaifa. Mimi naona kwamba Mhe. Mohamed ameleta hili jambo katika Nyumba ambayo inaangalia sera za kitaifa. Sera za kiafya hutengenezwa na serikali ya kitaifa. Na jambo ambalo analileta ni kuangalia sera. Serikali kuu ilitoa sera kuhusiana na mambo ya uzazi na serikali ya ugatuzi inatekeleza. Kwa hivyo, yale mambo ambayo Mhe. analeta nafikiria yako katika Nyumba hii kisawa na sisi tukae tukijua hata wagatuzi wata implement ."
}