GET /api/v0.1/hansard/entries/852911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852911,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852911/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwanza nitoe kongole kwa Wabunge wote kwa kuienzi lugha ya taifa ya Kiswahili. Maana leo hii Bunge limekuwa la mahajam. Naona leo watu wamefurahia kwa kuweza kuwasilihisha maswala haya. Kukosoa tu, kwanza kabisa nitaanza kwa kusema kwamba hakuna Hoja bure katika taifa hili. Kila Hoja ina maana yake."
}