GET /api/v0.1/hansard/entries/852915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 852915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852915/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu Spika. Mhe. mwenzangu alianza kwa kusema yeye anafahamu na kuelewa Kiswahili. Kongole ni kukupongeza kwa kuzungumza lugha ya taifa ya Kiswahili. Hata hivyo, nikiendelea nataka kusema kwamba alivyosema Mhe. mwenzangu ni kwamba hili ni Bunge la Taifa. Lengo letu kuu hapa Bungeni ni kutunga sheria za taifa. Nikiangalia Hoja ambayo nimeleta mbele yenu siku ya leo, kulikuwa na hali ya utata wakati wa kupiga chapa lakini nadhani tulikuwa tunasema wakipokea matibabu katika hospitali za rufaa…"
}