GET /api/v0.1/hansard/entries/852917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852917,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852917/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": " Kisha kejeli ya Katiba kama alivyosema mwenzangu, hatujakejeli Katiba kwa sababu tuko katika Jumba hili kutunga sheria na wakati mwingini huandikwa, hufutiliwa mbali na kuandikwa tena upya kwa manufaa ya wananchi wa Jamhuri ya Kenya. Sera za afya nchini Kenya ni za kitaifa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}