GET /api/v0.1/hansard/entries/852918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 852918,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852918/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa sababu umeeleweka na Hoja hiyo ikakubaliwa, tuwachane na mambo mengine, yawe ya majadiliano wakati Hoja hii itakapofika mbele ya Bunge hili. Sasa umepatiana azimio la hiyo Hoja. Tunakushukuru sana kwa kuileta katika lugha ya taifa ambayo ni Kiswahili."
}