GET /api/v0.1/hansard/entries/853145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 853145,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/853145/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Ninasimama kupinga Mswada huu kwa sababu niko na uwoga. Nina hofu kuwa Mswada huu utaleta madhara zaidi. Waliotangulia kunena mbele yangu wameongea kuhusu madhara ambayo madiwani walipata. Tulipotoka kwa manispaa tukaingia mfumo huu wa ugatuzi, wale waliostaafu hawajalipwa ile walikuwa wanafaa kulipwa. Kwa nini tunaharaka hatungojei Mswada ambao umetangulia na sasa uko Senate?"
}