GET /api/v0.1/hansard/entries/853146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 853146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/853146/?format=api",
"text_counter": 301,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Naogopa pia isije ikawa hizi pesa zitaenda county na zikafujwe. Tunataka kuwe na mikakati mizuri na tuelezwe zitaenda county vipi tusije kama Wabunge tukapelekwa kwa agenda ya watu wengine. Vita kati ya LAPFUND and LAPTRUST tuwachie wenyewe. LAPFUND inafanya kazi na kuna wale wanaoipenda. Tuwaachie wenyewe wachague ipi itawasaidie."
}