GET /api/v0.1/hansard/entries/859697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 859697,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/859697/?format=api",
    "text_counter": 274,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika, nimemaliza. Kazi zote za akina mama zinafanywa na sisi. Kila kitu kinafanywa na wamama. Hata nyumba ikiwa baridi wewe huwezi kuingia. Kwa hivyo, tunaomba Kenya nzima ituunge mkono. Saa hii ninashangaa kila Mjumbe anatoka nje. Katika Bunge la Kumi na la Kumi na Moja tulipigania Mswada huu na ninaomba tuupitishe. Ninaunga mkono na ninawaomba magavana wetu mahali popote wanapotusikiza, watuunge mkono. Wawakilishi wetu wote wa kaunti pia watuunge mkono."
}