GET /api/v0.1/hansard/entries/859761/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 859761,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/859761/?format=api",
    "text_counter": 338,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili pia nichangie kuhusu Mswada huu wa jinsia. Ninashukuru wanenaji ambao wamezungumza mbele yangu kuhusu mambo ya jinsia. Nitaanza kwa kushukuru mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Haki kwa sababu alitupatia maoni ya washika dau ambao alikutana nao akitembea Kenya kukusanya maoni yao. Alisema kwamba The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}