GET /api/v0.1/hansard/entries/859762/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 859762,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/859762/?format=api",
"text_counter": 339,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "walikutana na watu na vikundi karibu 59. Na kutokana na hivyo vikundi 59, vikundi 55 vilikubaliana kwamba mambo ya jinsia lazima yakamilishwe kulingana na Katiba yetu. Mimi pia nitasema hivi kwa wale walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali katika nchi yetu ya Kenya kuanzia kwa Mhe. Cecily Mbarire, Rachael Shebesh and Millie Odhiambo, hawa ni dada zetu waliokuwa wanafanya bidii katika vyama vyao. Walijitolea kuhakikisha kwamba angalau vyama vyao vimepiga hatua katika nafasi yao. Mimi pia nilikuwa nimeteuliwa katika"
}