GET /api/v0.1/hansard/entries/859804/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 859804,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/859804/?format=api",
    "text_counter": 381,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Laikipia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Catherine Waruguru",
    "speaker": {
        "id": 13253,
        "legal_name": "Catherine Wanjiku Waruguru",
        "slug": "catherine-wanjiku-waruguru"
    },
    "content": "Lakini tunaitwa hivi kwa sababu tunapigania ile thuluthi mbili. Serikali zetu za ugatuzi zimeafikiana na hii thuluthi mbili na zinatumia rasilimali kuu. Tunauliza Wakenya kwa njia ya heshima waturuhusu kwa mara ya kwanza tuweze kuafikiana na Katiba ya kwamba hakutakuwa jinsia moja ambayo itakuwa zaidi ya thuluthi mbili bila kuweka wengine ndani. Nasema hivyo kama mama, najua kuna Wabunge wanaume, vijana na walemavu. Naomba sisi wote tutembee pamoja. Maanake Mungu alipomuumba Adamu aliumba hata mama. Mama alitolewa kwa mbavu, hakutolewa kichwani. Lakini mama akawa improvement, kama ile tunaita improvedsmart phone . Mama amewekwa GB ile iko juu. Sisi tunataka kuwa memory ya ile maafikiano tuliafikiana na Wakenya…"
}