GET /api/v0.1/hansard/entries/862532/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 862532,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862532/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maishon Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": " Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ya kwanza ninashukuru Majority Leader, Hon. Duale, kwa njia ambayo ametuonyesha. Tulikuwa hapa wakati huu Mswada ulipoletwa. Ninashukuru Wabunge wenzangu wote kwa sababu ile sura wametuonyesha ni mbili. Kuna sura ya raha, wanatupatia meno na ndani ya roho, hatujui kama wako nasi."
}