GET /api/v0.1/hansard/entries/862534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 862534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862534/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maishon Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ni lazima tufuate Katiba yetu. Ningeomba kusema kusongesha sio kuanguasha. Tujadiliane kama watu wa tumbo moja na watu wanaopendana. Mhe. Spika kuna tatizo kidogo kwa ile njia ambayo wanasema turekebishe ndio tuwe kitu kimoja. Kwa sababu kile wanaongea, nasiwezi kusema hapa, sio ile njia ambayo tunata ka kwa sababu huu Mswada ukipita haupiti kwa sababu ya akina mama peke yake. Utapita kwa sababu ya sisi wote kama Wakenya. Tunaulizwa na kila Mkenya kama Mswada huu utapita. Kwa kila eneo Bunge, kila mama anafaa kumshika Mbunge wake ili kama anang’etang’eta, tutajua ni yeye ametuangusha. Ni lazima tujitokeze. Kila mtu amshike Mbunge wake na tuwe kitu kimoja. Kwa ukweli, lazima tutii sheria ya Katiba yetu. Ninaomba mkienda nyumbani kila moja avae hii badge na msiitoe. Tukirudi, turudi nayo. Ukiamka, amka nayo ili tujue tuko pamoja. Asante. Ninaunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}