GET /api/v0.1/hansard/entries/862878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 862878,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862878/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Changamwe, ODM",
"speaker_title": "Hon. Omar Mwinyi",
"speaker": {
"id": 1345,
"legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
"slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
},
"content": " Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii kuafiki Ripoti hii ya Kamati ya uwezo na kivuli kinachowawezesha Wabunge kuongea na kutekeleza shughuli zao bila kuwekewa vikwazo na sheria. Vilevile, tukielewa kwamba sheria zote ambazo tumepewa zina ukingo au limitations, sheria inatupatia nafasi kuwa sisi twaweza kusema lolote ambalo twataka kusema lakini sheria hiyo hiyo vilevile imetuwekea ukingo ambao hatuwezi kuvuka. Kwa sauti hiyo, tumekuwa na kazi ngumu katika kuangalia suala hili ambapo tulifadhaishwa sana na ripoti ambazo zilikuwa zinaonyeshwa katika magazeti kwamba Wabunge wanachukua hongo, Bunge limeoza na masuala kama haya. Hapo ndipo tukasema, kulinganisha na uwezo ambao tumepewa kama Kamati, tufanye uchunguzi. Katika uchunguzi, tuliona kwamba, kwasababu ripoti hii ilikuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}