GET /api/v0.1/hansard/entries/862881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 862881,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862881/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Changamwe, ODM",
"speaker_title": "Hon. Omar Mwinyi",
"speaker": {
"id": 1345,
"legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
"slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba dakika moja. Asante sana. Tulikuwa na kizaazaa wakati tulipoenda katika ukaguzi kule chooni. Ilisemekana Wabunge wanawake hawafungi milango yao wakienda chooni na hili ni jambo ambalo hatukuweza kulithibitisha kwa sababu hatungeweza kwenda chooni wakati wako pale. Kwa hivyo, pengine tungefanya utafiti zaidi kuhusu Wabunge akina mama ili watueleze kama wakienda chooni huwa wanaacha milango yao wazi. Hili ni tatizo kubwa sana ambalo Kamati yetu ilipata. Kwa hayo, naunga mkono Kamati hii na vile vile, Ripoti hii."
}