GET /api/v0.1/hansard/entries/862883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 862883,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862883/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Hon. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, nasimama kwa suala la nidhamu. Ile lugha ambayo Mheshimiwa Mwinyi ametumia si lugha ya Bunge. Ni lugha isiyo ya ustaarabu. Amesema kwamba wengine wetu hapa wakiingia chooni hawafungi milango. Hiyo ni aibu kubwa sana. Kama suala hilo lipo katika Ripoti, ni sawa. Lakini kama halipo kwenye Ripoti, atoe hoja hiyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}