GET /api/v0.1/hansard/entries/862937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 862937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862937/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Laikipia North, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Sara Korere",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": " Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuchangia Hoja hii na kuiunga mkono vile imerekebishwa na Mhe. Pukose. Vile wanenaji wengine wamesema, hata Bibilia takatifu, katika Zaburi 22:1, inasema kwamba ni bora mtu kuwa na jina zuri kuliko fedha na dhahabu. Kwa hivyo, wenzetu walilimbikizia lawama wengine; kwamba walikula rushwa na Kamati ya Bunge ikakaa ikafanya uchungizi na wakatoa mapendekezo yao. Kule nje, majina ya wengi wetu yameharibika na tunaonekana kuwa watu waliokuja hapa kula rushwa ya Kshs10,000 ama Kshs20,000."
}