GET /api/v0.1/hansard/entries/862938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 862938,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/862938/?format=api",
"text_counter": 181,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Sara Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Kama walivyosema Wabunge wenzangu, tungependa pia kuona wenzetu ambao walitoa lawama hii wakisema waliona hiki na kile, waende kwa Idara ya Ujajusi ama kwa Tume ya Kupambana na Ufisadi wakatoe ripoti zao huko ili wachunguzwe. Hatutakaa hapa baada ya kupitia hali ngumu katika maisha halafu tuchafuliwe majina na watu ambao wako na maneno yao. Nimesoma Ripoti iliyoko mbele yetu na nikaona mheshimiwa mmoja ambaye ametajwa akisema mheshimiwa mwenzake alimlimbikizia lawama kwa sababu walishindania kiti fulani. Sasa ni viti gani vinashindaniwa Bungeni baada ya kuwashinda wapinzani wetu kule nyanjani? Sasa wameleta maneno hayo yote na wameharibia jina Bunge nzima."
}