GET /api/v0.1/hansard/entries/865136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 865136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/865136/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif, Athman",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Kuna mwongozo wa kwamba wakati mkandarasi amefeli kufanya kazi yake, kuna utaratibu wa kujadili swala hili ili kuliweka sawa. Ningependa hata ikiwa ni Serikali kuu ama ile ya kaunti, wakati mkandarasi amefanya kazi ayke, amepeana lile cheti la malipo na ikiwa umepita muda fulani na hajalipwa pesa yake, kuwe na njia ya kuhakikisha kwamba mkandarasi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}