GET /api/v0.1/hansard/entries/865137/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 865137,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/865137/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif, Athman",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "huyu amepewa uwezo wa kulipwa fidia katika swala hilo ama iandaliwe namna ya kuhifadhi kandarasi hiyo. Tatizo hilo lipo na ni lazima Bunge hili liangazie vizuri tatizo hilo kwa sababu wanakandarasi wengi wanateseka kwa kufanya kazi katika kaunti zetu na Serikali kuu. Tunajua kwamba pesa hizi ziko kwenye bajeti na zimepelekwa kwenywe wizara lakini sijui ni njia gani wanaotumia hawa kuhakikisha wamewadhalilisha wanakandarasi hawa. Mwishowe yafaa tutafute mbinu ya kuwasaidia hawa wakandarasi."
}