GET /api/v0.1/hansard/entries/86700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 86700,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/86700/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwakulegwa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 101,
"legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
"slug": "danson-mwazo"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Bw. Naibu Waziri amesema kwamba kuna mjadala anataka kuleta hapa kuzungumzia ili mtu akiuawa ama akiumizwa na Wanyama wa pori, malipo yaongezeke. Tangu nimekuwa Bunge kwa miaka mitatu sasa, huu umekuwa wimbo; umekuwa ni uzembe na haijakuja mada kama hiyo kuzungumziwa hapa. Hiyo ni kama ni dalili ya kuzuia kulipa watu wanaoumizwa na Wanyama wa pori. Ni lini mada hiyo italetwa hapa ili tuizungumzie kinaganaga?"
}