GET /api/v0.1/hansard/entries/867312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 867312,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/867312/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Sasa hivi utakuta kwamba majimbo ambayo yanapata hela nyingi za barabara bado hela nyingi zinazidi kupelekwa kwao na zile zinapata mgao mdogo ndio zinazidi kuumia. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono marekebisho haya lakini Seneti ijaribu kufikira njia mwafaka ambayo inaweza kusaidia majimbo yote ya Kenya yawe sawa. Nashukuru kwa kunipa fursa hii."
}